Rapa wa Kundi la Weusi Lord Eyes amefanyiwa mahojiano na Radio Clouds Fm nakusema kuwa
ameshafanya kazi na mpenzi wake wa kitambo ambaye pia ni msanii wa bongo fleva
Ray C.
Lord Eyez amethibitisha kuwa wimbo huo umepewa jina la ‘Matatizo’ na umefanyika katika studio za Mangugu Digital chini ya Producer Shaqee. Wimbo una stori kuhusu mambo tofauti tunayopitia kwenye maisha.
ZAIDI STAY TUNED...............

No comments:
Post a Comment