Tuesday, 16 June 2015

MSAMI AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE KIMAPENZI NA IRENE UWOYA!

Msami & Irene Uwoya.

Muimbaji na Dancer mahiri wa muziki wa kizazi kipya hapa Tzee marufu kwa jina la Msami ambaye anafanya vizuri na ngoma zake, ikiwa ni pamoja na ‘Sound Track’ . juzi alitambulisha wimbo wake mpya unaoitwa Yalayala’ ndani ya East Africa Radio. huku akiongelea uhusiano wake kimapenzi na mpenzi wake Muigizaji Filamu{Bongo}Irene Uwoya,Akikiri Sapoti kubwa kutoka kwa mpenzi wake huyo.
 Msami amesema kuwa “nipo tayari kuzaa mtoto na Irene,natamani sikumoja iwe hivyo”.alisisitiza Msami.

No comments: