Monday, 8 June 2015

OMMY DIMPOZ AMNADI MCHUMBA WAKE MTANDAONI.


Atimaye msanii Ommy dimpoz ameweka Picha ya waubavu wake hadharani kupitia mtandao wa twitter.nakuandika maneno yafuatayo."Am in lov with Coco".ila katika hali ya sintofahamu Ommy Dimpoz aliiondoa haraka post hiyo.

No comments: