Thursday, 11 June 2015

PICHA:-MUIGIZAJI HAJI ADAM"BABA HAJI" AFUNGA NDOA RASMI.

Muigizaji maarufu wa Filamu nchini Tanzania Haji Adam a.k.a Baba Haji ameamua kuachana na ukapera kwa kufunga Ndoa rasmi kuelekea kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhan unaotarajiwa kujiri wiki ijayo,Kufuatia tukio hilo muhimu maishani mwake Haji Adam aliandika maneno haya"Ukapela kwaheri Mwenyezi Mungu Nakushukuru sana" akiashiria furaha kubwa kufuatia tukio hilo. 





No comments: