Saturday, 11 July 2015

LOWASSA APOKEWA KWA SHANGWE NA WAJUMBE CCM{DODOMA}

Mh,Edward Lowassa
Wakati mchakato wa kumsaka mgombea atakayekiwakilisha Chama cha Mapinduzi{CCM}ukiendelea mjini Dodoma,imetokea hali ya sintofahamu ndani ya ukumbi panapofanyikia mikutano ya chama hicho kwa ajili ya uteuzi wa mwakilishi huyo wa chama cha mapinduzi.
Hii ni baada ya Mh,Edward Lowassa kada aliyekosa nafasi kati ya makada watano waliopitishwa na kamati kuu ya CCM kuendelea na mchakato wa kumpata mgombea mmoja atakayekiwakilisha chama kwenye uchaguzi mkuu 2015, kushangiliwa kwa nguvu na wajumbe wa kikao hicho muda mfupi baada ya kuwasili kwenye mkutano huo leo.
WAWEZA KUWASIKILIZA WAJUMBE WA KIKAO HICHO WAKIPIGA SHANGWE ZA KUTOSHA BAADA YA Mh,LOWASSA KUINGIA UKUMBINI HAPO,

No comments: