 |
| Ridhiwan Kikwete. |
Inasemekana Watu wasiojulikana wamehack Account ya Mhunge wa Chalinze{CCM} Ridhiwan Kikwete na kuandika ujumbe wa uchochezi unaoonyesha kumpinga aliyekuwa mgombea nafasi ya kukiwakilisha chama tawala CCM kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2015.Bw,Edward Lowassa.
Kufuatia ujumbe huo Mh,Ridhiwan Kikwete ameujibu ujumbe huo ,Waweza kuziangalia post zote hapo chini:-
No comments:
Post a Comment