Saturday, 11 July 2015

MUHINDI WA QUALITY GROUP AKAMATWA NA MABILIONI DODOMA.

Anaye daiwa kuwa mhasibu wa QUALITY Group DSM.akamatwa na na mabegi ya fedha zaidi ya Shs.Milion 725 zinazodaiwa kuwagawia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma ili kumchagua kigogo mmoja.
Taarifa zaidi tutawafahamisha kadiri zitakavyo thibitishwa na mamlaka zinazoendelea na Uchunguzi.



TAZAMA VIDEO YA TUKIO LENYEWE HAPO CHINI,


No Comments
Posted by Hassan Khamis on Saturday, July 11, 2015

No comments: