Monday, 6 July 2015

MTUMISHI WA MUNGU APOSTLE JOHN KOMANYA ATANGULIA MBELE YA HAKI.

Apostle John Komanya.
                  R.I.P Apostle John Komanya;
Once again, sina neno zuri la kusema, nisije nikamkosea Mwenyezi Mungu; Ila, hakuna msiba ambao wimbo wako wa "zawadi gani nzuri-pokea sifa hizi baba" haukupigwa; ni wimbo unaopendwa na wengi; ni wimbo wenye kutia faraja sana.
Daima tutakukumbuka kwa mahubiri yako mema, na nyimbo nzuri.
Lala kwa amani brother in Jesus Christ;
Pole sana dada Magdalena Komanya; Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipingi hiki cha majonzi


NB:-IANGALIE VIDEO YA WIMBO WAKE"Zawadi gani" HAPO CHINI,

No comments: