Monday, 6 July 2015

PICHA:-YALIYOJIRI KWENYE HUKUMU YA BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA LEO KISUTU DISTRICT COURT.

Kesi iliyokuwa inawakabili Basil Mramba, Daniel Yona na Agrey Mgonja kuhusu matumizi mabaya ya madaraka imetolewa hukumu leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.
Daniel Yona na Basil Mramba wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya Milioni tano kila mmoja baada ya kukutwa na hatia ya makosa 11, Grey Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.

Basil Mramba, Daniel Yona na Grey Mgonja wakiwa nje ya mahakama ya Kisutu kusubiri kuingia ndani


Familia ya Daniel Yona na Basil Mramba wakiingia Mahakamani
Daniel Yona akiagana na rafiki zake

Basil Mramba akiingia ndani ya Gari ya Polisi kuelekea gerezani.
Daniel Yona akiingia ndani ya gari ya Polisi kuelekea Gerezani.





Gari ya polisi iliyobeba watuhumiwa ikitoka nje ya Mahakama ya Kisutu.
Picha zote Kwa Hisani ya Milard Ayo.com

No comments: