![]() |
| Kiss Daniel. |
Katika ujumbe wake Kiss Daniel amempa big up Rais wa Marekani Barack Obama kwa kukubali na kupitisha sheria hiyo nchini kwake.
Fahamu kuwa Nigeria wanapinga kwa nguvu zote ndoa za jinsia moja.
Na hiki ndicho msanii Kiss Daniel alichokiandika Instagram
“Ok, so, g@y marriage is legalized in the U.S? Some are mad, some are indifferent, some are glad. Straight or G@y, what matter is we’ve got a heart that can love. Love is love and love always wins. Barrack Obama, peace”
WAWEZA KUIANGALIA "Remix" YA HIT SONG YAKE "Woju" SINGLE ILIYOMTAMBULISHA VYEMA KWENYE MUZIKI,

No comments:
Post a Comment