![]() |
| Mh John Shibuda |
-Kwa muda mrefu sasa Mbunge John Shibuda amekuwa na mgogoro wa kimyakimya na Chama Chake.akituhumiwa kuwa ni mamluki ndani ya chama hicho.
Nayo Kamati kuu ya Chama hicho imeridhia na kumtakia safari njema,na mafanikio mema huko aendako.
( Tunamshukuru kwa kutumia angalau busara, anaelewa nini maana ya siasa ) iliripoti taarifa toka Chadema.

No comments:
Post a Comment