![]() |
| Mh,Tundu Lisu na Spika Anna Makinda. |
Mbunge mtata na machachali wa Singida Mashariki{Ukawa}kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo{Chadema} Tundu Lissu baada ya kufukuzwa bungeni vikao vyote vilivyobakia,
Amemuita spika wa bunge Anna Makinda"bibi mwenye maamuzi yasiyo na tija",
Akisisitiza kuwa muswada wa mafuta na petroli umepitishwa kwa shinikizo la manufaa yake na viongozi wakuu wa nchi.Kauli hiyo ameitoa wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma jana,
Siku ambayo{Ukawa} walitoa kauli ya kususia vikao vyote vya Bunge vilivyobakia.

No comments:
Post a Comment