RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS. FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Nilishangaa nilipoambiwa kuna msanii mmoja mkubwa alilipwa shilingi milioni 20 kuwa balozi wa brand moja kubwa. Huo si uonevu kwa msanii huyo tu bali ni tusi kwa industry nzima ya muziki Tanzania. Hatuwezi kuwa sawa na wasanii wa Nigeria kama makampuni hayataamua kuthamini ukubwa na umuhimu wao na kuwapa endorsement kama hizi. Mkataba kama huu wa Wizkid na Pepsi unampa kuanzia $500,000 hadi $1m kwa mwaka. #Repost @wizkidayo ・・・ 3years with one of the biggest brands in the world Pepsi! Looking forward to another 2years! Done deal! 💯💯💯$$💲💲💲💲💲💲 Proud Pepsi ambassador!! Cc @pauloo2104 ! A photo posted by Dr. Fredrick Bundala (@skytanzania) on Jul 17, 2015 at 10:28pm PDT
Nilishangaa nilipoambiwa kuna msanii mmoja mkubwa alilipwa shilingi milioni 20 kuwa balozi wa brand moja kubwa. Huo si uonevu kwa msanii huyo tu bali ni tusi kwa industry nzima ya muziki Tanzania. Hatuwezi kuwa sawa na wasanii wa Nigeria kama makampuni hayataamua kuthamini ukubwa na umuhimu wao na kuwapa endorsement kama hizi. Mkataba kama huu wa Wizkid na Pepsi unampa kuanzia $500,000 hadi $1m kwa mwaka. #Repost @wizkidayo ・・・ 3years with one of the biggest brands in the world Pepsi! Looking forward to another 2years! Done deal! 💯💯💯$$💲💲💲💲💲💲 Proud Pepsi ambassador!! Cc @pauloo2104 !
A photo posted by Dr. Fredrick Bundala (@skytanzania) on Jul 17, 2015 at 10:28pm PDT
Post a Comment
No comments:
Post a Comment