Saturday, 10 October 2015

KUNDI LA MUZIKI LA P'SQUARE LAKABIDHIWA NDINGA MBILI ZA KIFAHARI NA KAMPUNI KUBWA YA MAWASILIANO NCHINI NIGERIA{Glo} KAMA MABALOZI WA KAMPUNI HIYO KIMATAIFA.


Kundi la muziki kutoka nchini Nigeria linaloundwa na mapacha wawili Peter na Paul wamekabidhiwa magari aina ya G-Wagon, na Range Rover kutoka kampuni ya mawasiliano ya nchini humo{Glo}.

Kundi hilo la P-Square limepokea zawadi hizo kutoka kwa kampuni hiyo baada ya kuwa balozi wa kampuni hiyo ya mawasiliano inayotambulika kwa jina la Glo. Wawili hao wametupia picha za magari hayo, ambapo Peter alikuwa ameshika funguo ya G-Wagon huku Paul akiweka pozi kwenye Range Rover.

No comments: