Mwakilishi na msemaji wa rapa Drake amekanusha vikali taarifa kuwa Drake
amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa sasa ambaye ni mcheza tennis
Serena Williams.
Mwakilishi huyu aliuambia mtandao wa TMZ kuwa taarifa hizi sio za
kweli, na kwamba ni mapema sana kwa Drake kufanya hivyo.Drake na Serena walikuwa pamoja wiki hii kwenye maonyesho ya mavazi ya New York Fashion Week.
No comments:
Post a Comment