Thursday, 19 November 2015

SUGU AONGOZA ORODHA WABUNGE WALIOVUNA KURA NYINGI MAJIMBONI.

Mh,Joseph Desderius Mbilinyi"Sugu"
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ndiye aliyeongoza kwa kuchaguliwa na wapigakura wengi kuliko mbunge yeyote kati ya wabunge 257 waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
---Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wabunge waliochaguliwa majimboni hadi sasa ni 257 kati ya 264. Majimbo saba hayajafanya uchaguzi kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo vifo vya wagombea na uhaba wa vifaa.
Chanzo-Mwananchi.

No comments: