Museveni
aliibuka na ushindi kwa kupata asilimia 65 akifuatiwa na kiongozi wa
upinzani Dkt.Kizza Besigye aliyepata asilimia 35 huku akiwekwa kizuizini
nyumbani kwake.
Rais Museveni amesema Uchaguzi huo ulikuwa wa haki na kupuuza madai ya upinzani kwa kuwepo wizi wa kura na pia shutuma za waangalizi wa kimataifa kwamba uchaguzi huo ulikuwa na dosari nyingi.
Chanzo BBC

No comments:
Post a Comment