MSICHANA MWENYE AKILI KULIKO MABALEE WOTE DUNIANI.
HUYU ndiye Msichana mwenye akili kuliko mabalee wote duniani
Anaitwa Suhaila Ibrahim ana miaka 15 mnaijeria, anatajwa kuwa ndio
msichana mwenye akili kuzidi watu wote wa umri wake, mpaka kufikia
kupewa zawadi ndani ya Ikulu ya Marekani (White house) na raisi Barack
Obama.
Chanzo-Kambi Kuu
No comments:
Post a Comment