Tuesday, 8 March 2016

Picha: Mapokezi ya Lulu Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA)

 Picha za mapokezi za Mshindi wa Tuzo ya AMVCA2016 kipengele cha Movie bora ya Afrika Mashariki elizabeth michael ‘Lulu’ wakati akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA) akitokea Nigeria.

Video fupi zikionyesha jinsi mwigizaji Lulu alivyopokewa Airport Dar baada ya kushinda tuzo Nigeria.....

 

No comments: