Tuesday, 8 March 2016

VIDEO-DENI LAIUMBUA FAMILA YA QCHIEF NA KUTOLEWA VITU NJE HUKU NYUMBA IKITAKIWA KUTAIFISHWA.

U Heard ya Soudy Brown kupitia XXL ya Clouds FM March 8 2016 leo inamuhusu Baba mzazi wa msanii kutoka kiwanda cha Bongoflevani Q Chila kutolewa vitu vya ndani nje ya nyumba yake, Soudy Brown amefanya interview na Manager wa Q Chila na stori ilikuwa hivi.
Mimi nilipata taarifa juzi tu alafu hii taarifa ya kutolewa vitu nje imenishangaza sana wala sikutegeme iwe hivyo, Juzi Q Chila alinifata akaniambia mzee alishawahi kukopa hela huko nyuma na dhamana ilikuwa ni Nyumba nikwamwambia sawa na akaniambia swala sahivi limefika Mahakamani QS Muhonda
Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini….

No comments: