Kipindi hicho kinarushwa kupitia runinga ya MTV, ambapo kinatangazwa pia na muimbaji wa Nigeria Dbanji.
Diamond alikuwa akichuana na Theo wa Mafikizolo ambapo hushindana kuimba nyimbo za wasanii wengine, baada ya kushinda mkanda huo
Diamond akaandika kupitia ukurasa wake wa Instagram. Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu na kuwajuza kuwa kijana wenu nimewawakilisha vyema kwenye mashindano ya LIP SYNC BATTLE AFRICA ya @MtvBaseAfrica na kuweza kuibuka kidedea kwenye Mashindano ya Stage hiyo na kunyakua Mkanda.”
No comments:
Post a Comment