Naibu Spika Tulia Ackson ameahirisha Bunge baada ya wabunge wa upinzani kugoma kukataliwa kujadiliwa kwa hoja yao ya kufukuzwa kwa wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma
Wabunge waupinzani walileta hoja hiyo mezani wakitaka kujua hatma ya wanafunzi waliofukuzwa chuo kikuu Dodoma (UDOM) na kutakiwa kurudi makwao.
Lakini inaelezwa kuwa hoja hiyo ilizuiliwa kujadiliwa ndipo ikapelekea mvutano uliosababisha kuahirishwa kwa Bunge.
Tetesi zinaeleza kuwa, wanafunzi hao waliofukuzwa chuoni hapo wamegeuka kuwa makahaba wengine wakidai kuwa wanatafuta nauli za kurudi makwao kwani hawakua na fedha za kurudia nyumbani.

No comments:
Post a Comment