Friday, 30 August 2013

PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND JANA.

RAY KIGOSI & JACOB STEVEN{JB}
ROMMIE JONES.
FELA NA BABU TALE.

JACKLINE WOLPER.
MZEE MUHIDINI MAALIM NGURUMO AKIONGEA JAMBO BAADA YA KUKABIDHIWA ZAWADI YA GARI NA DIAMOND JANA KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YAKE MPYA.
IRENE UWOYA.
MKONGWE MAALIM MUHIDIN NGURUMO AKIWA NDANI YA GARI ALILOZAWADIWA NA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUITUMIKIA SANAA YA MUZIKI KWA TAKRIBANI MIAKA 50,GARI HII NI FAN CARGO.
MADAM RITHA.
.
GARI ALILOZAWADIWA MAALIM NGURUMO NA DIAMOND PLATNUMZ JANA.
DIAMOND NA WASAFI KWA STEJI.

ASHA BARAKA AKIWA NA MAMA DIAMOND.
KAT,MAMA DIAMOND NA PENNY.
CHEGE & DULLY SYKES.
CHEGE.
DULLY SYKES.
AY & SALAMA JABIR.
DIAMOND AKIMKABIDHI FUNGUO ZA GARI ALILOMZAWADIA MKONGWE MUHIDIN MAALIM NGURUMO ALIYESTAAFU MUZIKI.


No comments: