 |
| Ange Paul Kagame |
Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti wa marais Africa mrembo kuliko wengine.
 |
| Faith Sakwe Jonathan |
Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo.
 |
| Nyepudzayi Bona Mugabe |
Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambo mbalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni
 |
| Ngina Uhuru Kenyata. |
Huyu ni mtoto wa wa rais wa kenya Uhuru Kenyata,aliyelikuza sana jina la mzazi wake wa kike,kwa jinsi wakenya wanavyomuita Mama Ngina.
 |
| Diana Karuguiye Museveni |
Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa.
No comments:
Post a Comment