Friday, 10 July 2015

LINAH AELEZEA UHUSIANO WAKE NA KAKA YAKE ZARI.

Esterlina Sanga"Linah"
Kama wewe ni mtu wa stori za mastaa kutoka kwenye mitandao ya kijamii inawezekana ikawa imekufikia hii ya Linah kutajwa kuwa mapenzini na kaka yake Zari The Boss lady ambaye ni girlfriend wa Diamond.
Linah na Boss mtoto.
 
Kwenye  Interview Linah ameongelea  hilo baada ya kuulizwa na shabiki, 
Kufahamu tazama hii video hapa chini…

No comments: