Thursday, 15 October 2015

BALOZI JUMA MWAPACHU ARUDISHA KADI ZA TANU NA CCM,AKIRI KUMUUNGA MKONO LOWASSA.

Pichani ya pili kushoto ni Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Sudi Odemba, akipokea kadi za Mwapachu leo katika ofisi ya Kata Mikocheni Jijini Dar es Salaam


Balozi Juma Mwapachu amerudisha kadi za TANU na CCM. Asema atatangaza chama atakachojiunga ila anamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA Edward Lowassa

-Amerudisha kadi zake kwa Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, mtaa wa Mikocheni A, Jijini Dar.





No comments: