Thursday, 15 October 2015

Mh,REGINALD MENGI ATHIBITISHA KUONGEA NA MKUU WA MAJESHI AKIWA NJE YA NCHI.

PICHA-Mkuu wa majeshi akiwa katika shughuli zake za kawaida nje ya nchi
Takriban mwezi sasa kumezuka Minong'ono na Taarifa zisizo Rasmi juu ya Afya ya Mkuu wa Majeshi ya Tanzania,Gen Davis Mwamnyange,taarifa zilizokuwa zikielezea kuwa Mkuu huyo wa majeshi amelazwa nje ya nchi na hali yake ikiwa tete......
Kupitia Mtandao wa Tweeter,Mfanyabiashara mkubwa Bongo na mmliki wa Makampuni ya IPP MEDIA Bw,Reginald Mengi amethibitisha kuongea na Gen Davis Mwamnyange na kuthibitisha Ubuheri wa Afya yake akiwa nje ya nchi......

No comments: