Thursday, 15 October 2015

MWILI WA MAREHEMU Dkt ABDALLAH KIGODA WAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Kushoto ni Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi,Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Makamu wa Rais Dkt Ghalib Bilal,Spika wa Bunge Mama Anna Makinda,Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wakijumuika kwa pamoja kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Abdallah Kigoda aliyefariki juzi Hospitali ya Apolo nchini India.
Makamu wa Rais Dkt Ghalib Bilal akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubery muda mfupi alipowasili kwenye Msikiti wa Maamury{UPANGA jijini}tayari kwa swala ya kumuombea Marehemu leo Asubuhi.
Pichani,Maafisa Wasimamizi wa Shughuli za BUNGE wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu muda mfupi ulipowasili kwenye Viwanja vya Karimjee tayari kwa zoezi la kuaga.
Baadhi ya Wanafamilia.
Mufti Abubakary Zubery akiongoza Swala la kumswalia Marehemu Abdallah Kigoda.
Spika wa Bunge la Tanzania Mama Anna Makinda akitoa Salamu za Bunge.
Waziri Mkuu Bw,Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Abdallah Kigoda.

No comments: