Wednesday, 14 October 2015

FAMILIA YA MWAMNYANGE YATHIBITISHA AFYA YAKE.


Familiaa ya Mkuuwa Majeshi General Davis Mwamunyange imetoa kauli mara baada ya sintofahamu inayoendelea Mitandaoni Kuhusu Mkuu huyo wa
Majeshi

Familia ya CDF Mwamunyange: 
Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa.
Akizungumza kwa Niaba ya Familia Kaka Yake Davis Mwamunyange amethibitisha Mdogo wake anaendelea na Majukumu yake yupo Nje ya Nchi na Anatarajiwa Kurudi Nchini siku za Karibuni
Ni baada ya taarifa kuzagaa mitandaoni juu ya kulishwa sumu kwa mkuu huyo.
Familia imesema anaendelea vizuri na yupo nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa.
Chanzo: Kaka wa Jenerali Davis Mwamunyange{ITV}.

No comments: